Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

Nashukuru kwa ushauri mzuri pia tunasubiri majibu ya RUFAA
 
Kifupi hapo umezungukwa na department yako ya Accountancy &Finance haiwezekani bank wakafungua Ac ya kampuni bila vielelezo vya muhimu. Alafu iweje malipo yapitie kwenye hiyo Ac bila consent ya kampuni?
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri pia tunasubiri majibu ya rufaa
Kifupi hapo umezungukwa na department yako ya Accountancy &Finance haiwezekani bank wakafungua Ac ya kampuni bila vielelezo vya muhimu. Alafu iweje malipo yapitie kwenye hiyo Ac bila consent ya kampuni?
CRDB BANK PLC NA BANK OF TANZANIA wameshafanya investigation natumai wamewagundua wahusika na wamewachukulia hatua.
 
Take them to court!!
 
Hapa kwa sisi traders ni ku sell their stocks , now they're going to be bearish, investors Wana safa Ila traders wanapiga pande zote mbele na nyuma ni sawa kwao.
 
Nimesoma comments zote kwa haraka haraka nahisi wewe una asili ya nje ya Tz even though paper zainaweza kusema ni Mtz

BoT iliamuru haya:
  • CRDB ikuridishie 13,213,200 ambazo zilichukuliwa isivyo halali kutoka kwenye akaunti iliyofunguliwa bila ruhusa.
  • Crdb kukulipa fidia kwa hasara ulizopata kutokana na makosa waliyofanya ya kufungua Duplocate unauthorized account.
  • CRDB kuwasilisha ripoti kwa Benki Kuu kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya afisa aliyefungua akaunti bila kukamilisha taratibu.
  • CRDB kupigwa faini ya Shilingi 3,000,000 kwa kushindwa kuzingatia kanuni za Benki Kuu ya Tanzania.

Kwa hii nchi ilivyo kuna account duplicate nyingi sana zinafuunguliwa mpaka za marais

Kama vipi ungeandika fidia kwa mazingira ya kibongo ila kwa hiyo fidia uliyoweka milioni 500 ya kudhurika kisaikolojia kwa nchi hii ? sidhani mkuu ! labda uwe na connections nzito na watu wazito na bado haitakuwa free, wanasubiri mgao wao.

cheza hapo kwenye fidia za hasara ulizopata kibiashara unazoweza kuthibitisha kihasibu
 
Shukrani kwa ushauri mzuri sana , tutakua tayari endapo tutajibiwa rufaa na kuona namna gani LAKINI KILIO CHETU KIKUU NI UKIMYA WA TAASISI INAYOPASWA KUJIBU RUFAA KISHERIA NA KWA MUDA ULIOWEKWA LAKINI ZAIDI YA MIEZI MIWILI IMEPITA BILA YA MAJIBU HA RUFAA YETU WALA ENFORCEMENT NA NDIO KINATUFANYA TUWEKE JAMBO HILI HADHARANI KWA AJILI YA USALAMA WETU BINAFSI NA MASLAHI YA KAMPUNI YETU KURUDI KATIKA OPERATIONS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…