Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
Kwa hiyo huyu mzungu bado hajaolewa anamsubiri Jaluo amtaliki Michelle!?
Mkuu c kila kitu ulichokijua kimekusaidia vingine vimekuangamiza zaidiInatusaidia nini kufahamu haya?
Egoo wew bashemela mnoWamependeza?
Acha urongoKutalikiana kwa charles na diana kulitokana na vuguvugu la mapenzi baina ya charles na camilla.
Kuhusu wadhifa/cheo cha charles na camilla hakutakuwa na chochote kipya kwani malkia elizabeth ameshaamua kwamba ufalme utaenda kwa mjukuu wake William.
Acha upotoshaji wewe! Anayefuatia baada ya Malkia ni Charles halafu ndio William.Kutalikiana kwa charles na diana kulitokana na vuguvugu la mapenzi baina ya charles na camilla.
Kuhusu wadhifa/cheo cha charles na camilla hakutakuwa na chochote kipya kwani malkia elizabeth ameshaamua kwamba ufalme utaenda kwa mjukuu wake William.