Unauthorized Obama biography: Huu ulikuwa mchepuko wa mheshimiwa!

Unauthorized Obama biography: Huu ulikuwa mchepuko wa mheshimiwa!

Screenshot_2017-05-06-06-58-44.png
 
Obama sio MTU wa spoti spoti wanawanake wrote wapo vizuri up stairs!
 
Mkuu hoja yako ni nini? Usijibashite buana, wengine tunakuona ni mtu mtoa hoja. Not this one
 
Hahaa demu kajipendekeza kwa jamaa baada ya kuona obama kawa raisi wa marekani.. So njia yq kupata kiki hiyo
 
Itendee haki basi thread yako kwa kutuwekea na mchepuko wa Michele! Hapa umepiga upande mmoja tu!
 
Kutalikiana kwa charles na diana kulitokana na vuguvugu la mapenzi baina ya charles na camilla.
Kuhusu wadhifa/cheo cha charles na camilla hakutakuwa na chochote kipya kwani malkia elizabeth ameshaamua kwamba ufalme utaenda kwa mjukuu wake William.
Acha urongo
 
Acha upotoshaji wewe! Anayefuatia baada ya Malkia ni Charles halafu ndio William.
 
Back
Top Bottom