Unavaa size gani ya kiatu?

Unavaa size gani ya kiatu?

Me navaa UK 43-44 ambayo ni kama US 9.5

Hapo nakua comfortable kabisa Nkivaa
 
Nahisi kuna viatu vingime ni vikubwa vingne ni vidogo kwa namba ile ile, Kuna ambavyo navaa 42.5 vingine namba hio hio vinabana.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom