Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mmmmh kweli NN you'r a legend
Nikisikia sauti yako tu nabaki speechless..
Kumbe ni Konnie...
GPS... Ukijua mitaa utahisi ni nani.
utakosaje kuwa admired na vile we ni m-hot?
ha ha ha, wananisingizia tu hawa.
Ila kwa nini wee uko hendsam mkorofi?
Ukipokea afu ukisema tu 'hello' maneno yanamruka yote.
Unajua nini sista....huyu kila akipiga huwa namsikia anahema. Yaani nasema haloo haloo kama mara nne hivi...yeye hasemi kitu ila nachosikia ni yeye kuhema halafu anakata simu. Atakuwa nani huyu?
Unajua nini sista....huyu kila akipiga huwa namsikia anahema. Yaani nasema haloo haloo kama mara nne hivi...yeye hasemi kitu ila nachosikia ni yeye kuhema halafu anakata simu. Atakuwa nani huyu?