"Unavailable"

"Unavailable"

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hivi kwa nini lakini wewe? Kwa nini unanipigia simu kutoka namba ambayo ni "unavailable" halafu nikipokea husemi kitu, unakaa hewani kwa sekunde 10 halafu unakata simu?

Tatizo lako ni nini hasa? Do you secretly admire me or what? Stop stalking me. Stop your stalking ways.
 
Kongosho, si umwambie tu NN ya nini kumtesa mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
Well ichunie utaona anaanza kuandika msg kama kweli ni secret amirere
 
Nikisikia sauti yako tu nabaki speechless..
 
naona sasa hivi hand held GPS zinataka kuwa bidhaa muhimu nyumbani kama masufuria lol

sasa sijui huyu 'bipper' ni wa wapi? Labda atlantic ocean!!!!

GPS... Ukijua mitaa utahisi ni nani.
 
554754_10151037488206322_1610941524_n.jpg
 
ha ha ha, wananisingizia tu hawa.

Ila kwa nini wee uko hendsam mkorofi?

Ukipokea afu ukisema tu 'hello' maneno yanamruka yote.

Unajua nini sista....huyu kila akipiga huwa namsikia anahema. Yaani nasema haloo haloo kama mara nne hivi...yeye hasemi kitu ila nachosikia ni yeye kuhema halafu anakata simu. Atakuwa nani huyu?
 
ha ha ha, sijui.

Afu ngoja niondoke hapa unanitafutia kesi.

Ikungu unadhani mchezo, kama New York

Unajua nini sista....huyu kila akipiga huwa namsikia anahema. Yaani nasema haloo haloo kama mara nne hivi...yeye hasemi kitu ila nachosikia ni yeye kuhema halafu anakata simu. Atakuwa nani huyu?
 
Serial Killer
A%20S%2039.gif
Unajua nini sista....huyu kila akipiga huwa namsikia anahema. Yaani nasema haloo haloo kama mara nne hivi...yeye hasemi kitu ila nachosikia ni yeye kuhema halafu anakata simu. Atakuwa nani huyu?
 
Back
Top Bottom