venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaovutiwa sana na video nzuri za muziki hasa hapa bongo na Africa kwa ujumla. Video zilizopangiliwa kuanzia story au ubora wa picha nk.
Kwangu hawa ni director's wazuri ambao huwa napenda video zao; Clarence Peters. Ni director mkubwa Nigeria ambaye huwa mara nyingi hakosei ktk suala la video bora. Godfather huyu naye sioni kazi zake sikuhizi labda kwasababu hafanyi na wasanii wa Tanzania sana Kama Diamond ambaye alimtumia sana, so far huyu ni director mzuri.
Wengine ni Traveller wa kwetu studio, Sesan, Justin Campos, Hascana na Kenny. Dizaini kama hawana utofauti mkubwa sana kwangu nawaweka levo moja.
Wewe unavutiwa na director's gani?