Unavutiwa na video za directors gani wa muziki hapa Afrika?

Unavutiwa na video za directors gani wa muziki hapa Afrika?

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaovutiwa sana na video nzuri za muziki hasa hapa bongo na Africa kwa ujumla. Video zilizopangiliwa kuanzia story au ubora wa picha nk.

Kwangu hawa ni director's wazuri ambao huwa napenda video zao; Clarence Peters. Ni director mkubwa Nigeria ambaye huwa mara nyingi hakosei ktk suala la video bora. Godfather huyu naye sioni kazi zake sikuhizi labda kwasababu hafanyi na wasanii wa Tanzania sana Kama Diamond ambaye alimtumia sana, so far huyu ni director mzuri.

Wengine ni Traveller wa kwetu studio, Sesan, Justin Campos, Hascana na Kenny. Dizaini kama hawana utofauti mkubwa sana kwangu nawaweka levo moja.

Wewe unavutiwa na director's gani?
 
Kenny anarudia sana idea za marangi rangi na mataa. Abadilike bhn tushamchoka wengine
Kabisa,na video zake nyingi anapenda kushoot maeneo ya ndani ktk mataa mengi,maurembo ajifunze kwa kina Clarence Peters jamaa anabadilika kila nyimbo.
 
Kwetu studio huyu hatabiliki video zake..big up travellar
 
Clarence A. Peter's
Nisher_X
LSV
Enos Olik (Waz Hia)
Hanscana
Destro
Jabulant
Kenny
 
Director X
Ame "shoot started from the bottom" ya mwamba Drake.
 
traveler Kwetu studio
video anazomfanyiaga Hemed phd zinakuaga zimetulia sana
director Sessan alieshoot Baba nla ya wizkid [emoji114][emoji114]
 
kwetu studio
deo abel
pablo
aliyeshoot faden alan walker akaja kuua kwenye shape of you
 
Back
Top Bottom