mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
au uliuze kama skrepa au liendelee kuozea apo uwanjani kwakoUnanua gari ili na wewe uliuze.
BMW karibu model zote, Land Rover hasa Discovery 3 na 4, VW karibu zote kasoro Beetle na Combi, Audi karibu zote tu.. kwa kifupi ni magari ya Ulaya, na sababu ni ukosefu wa spea hapa nchini.Mkuu ni vyema ukayataja hayo magari ambayo hayauziki.
Mkuu ni vyema ukayataja hayo magari ambayo hayauziki.
BMW karibu model zote, Land Rover hasa Discovery 3 na 4, VW karibu zote kasoro Beetle na Combi, Audi karibu zote tu.. kwa kifupi ni magari ya Ulaya, na sababu ni ukosefu wa spea hapa nchini.
Mkuu hakuna gari isiyo na spare. Siku hizi unaweza kuagiza spare UK, Dubai au China ikakufikia Ndani ya week.BMW karibu model zote, Land Rover hasa Discovery 3 na 4, VW karibu zote kasoro Beetle na Combi, Audi karibu zote tu.. kwa kifupi ni magari ya Ulaya, na sababu ni ukosefu wa spea hapa nchini.
Bila shaka wewe ni fukara na unapeleka ujumbe wako kwa mafukara wenzako kama mimi. Vinginevyo watu wanaojiweza hii siyo issue.Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa).
Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza kuuza.
Tuwe makini wajameni maana inachanganya sana unapotaka kuuza hlf wateja hawatokei au wanayeyuka ghafla.
usiseme hujaambiwa.
Mkuu, sijasema gari haina spea bali nimesema gari hizo za ulaya zina ukosefu wa spea hapa nchini, hivyo ni lazima uagize kama hivyo ulivyosema; sasa watumiaji wengi wa magari hawapo tayari kwa hilo, ndio sababu uerope cars zinakua ngumu kuuzika.Mkuu hakuna gari isiyo na spare. Siku hizi unaweza kuagiza spare UK, Dubai au China ikakufikia Ndani ya week.
Changamoto ni kwamba wengi tunanunua magari yaliyochoka. Ununue discovery 4 kwa Mzee wa madungu Jeshi yenye miaka 15, wewe uitumie kwa miaka 5 au 7 then utake Kuuza kwa faida? Shida inaanzia hapo. Ndo maana malalamiko dhidi ya magari ya Ulaya hayaishi.
Nunua gari ya 2020, utumie hata miaka saba uone kama utapata shida kuuza.
aisee ni kweli hata mimi hii TOYOTA RAV4 OLD MODEL sitauza,itabaki kama ukumbusho.Gari niliyoanzia maisha ina historia yangu.Mimi gari yangu ya Kwanza nilisema sitauza nitaipark kwangu kama wale wazee wakichagga walivyokua wanafanya ukiingia tu unajua hapa hela ilikuwepo
Umeongea point muhimu sana. naonaga jamaa wananunua ma discovery kwa mzee wa madungu nawaonea huruma sana; tena hiyo mika mitano umesema ni ming sana. Discovery has za UK ikivuka mileage 100k hayo ni maumivu makubwa ukiichukua, utajutaMkuu hakuna gari isiyo na spare. Siku hizi unaweza kuagiza spare UK, Dubai au China ikakufikia Ndani ya week.
Changamoto ni kwamba wengi tunanunua magari yaliyochoka. Ununue discovery 4 kwa Mzee wa madungu Jeshi yenye miaka 15, wewe uitumie kwa miaka 5 au 7 then utake Kuuza kwa faida? Shida inaanzia hapo. Ndo maana malalamiko dhidi ya magari ya Ulaya hayaishi.
Nunua gari ya 2020, utumie hata miaka saba uone kama utapata shida kuuza.
Ukiona una mawazo ya kununua gari ili baadae uje kuliuza ikitokea unashida basi wewe ni fukaraMkuu, sijasema gari haina spea bali nimesema gari hizo za ulaya zina ukosefu wa spea hapa nchini, hivyo ni lazima uagize kama hivyo ulivyosema; sasa watumiaji wengi wa magari hawapo tayari kwa hilo, ndio sababu uerope cars zinakua ngumu kuuzika.
Kuhusu kununua gari za mwaka wa karibuni (2020 na kuendelea) sio kitu rahisi kwa wengi sababu ni za bei kali, na hata mtu akiwa na fedha hiyo bado ataona bora akanunue toyota ya mwaka huohuo ambapo bado ataweza kuiuza kwa urahisi ukifananisha na hiyo ya ulaya ya mwaka huohuo.
Kwa hiyo suala la spea kutopatikana nchini halihusiani na upya au uchakavu wa gari bali ni mambo ya demand na supply.
Maneno matupu bila references za hayo magari ni bure tu.Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa).
Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza kuuza.
Tuwe makini wajameni maana inachanganya sana unapotaka kuuza hlf wateja hawatokei au wanayeyuka ghafla.
usiseme hujaambiwa.
Kimfaacho mtu chake,hata kama utamuita fukara bado anauza mali yake kuna tatizo gani?Ukiona una mawazo ya kununua gari ili baadae uje kuliuza ikitokea unashida basi wewe ni fukara
humu jF kila mtu tajiri 😆Kimfaacho mtu chake,hata kama utamuita fukara bado anauza mali yake kuna tatizo gani?