Unavyotafuta gari ya kununua, RANGI huwa unaipa kipaumbele au kanyaga twende?

Unavyotafuta gari ya kununua, RANGI huwa unaipa kipaumbele au kanyaga twende?

Ila anyway Rangi ina priority yake tuu ... imagine mwanaume mwenzangu ana Harrier ya pink?? ...hii sio utani ...hata kama sina gari ila hiyo rangi hapana kwakwel [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rangi ina matter sana Mkuu hadi kwenye bei gari za mkononi silver inafanya vizuri sana tofauti na nyeusi na nyeupe au nyekundu.

Mfano IST hata iwe mpya vipi ikishakuwa nyekundu tu inakuwa jau tofauti na ya silver
Kweli, kwa gari mfano IST ikiwa silver. Perfect
 
Yes it matters kwangu.
1. Jeep Wrangler-grey
2. Ford ranger -orange
3. Toyota prado - grey
4. Toyota premio - silver
5. Subaru forester - Blue (maziwa)

Thats my dream gari tano mpaka sasa sina hata moja.

N.b sipendi rangi nyeupe, nyekundu, njano etc
 
Back
Top Bottom