Unavyowezaje kubadili Corona kuwa fursa ya kiuchumi

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari JF!

Kwanza naomba nitoe pole sana kwa wale ambao nchi zao zimekumbwa na janga hili la Corona. Pia, tuliombee Taifa letu Mungu aliepushe na janga hili. Tuwaombee na viongozi wetu wasimame imara katika kulilinda Taifa dhidi ya majanga yote.

Huu sio utani bali ni fact kwamba kila jambo linalotokea liwe zuri au baya kwa mwenzako ni fursa kiuchumi,mfano wauza majeneza wasipopata Wateja wanauzunika sana, pumbavu zao inamaana wanaomba watu wafe wauze majeneza?

Binafsi nina mtazamo tofauti, nimewaza kuanzisha online kozi inayohusiana na maswala mazima ya ugonjwa wa Corona , watu watalipia kusoma hiyo kozi watapata na certificate na pia itatolewa kupitia You Tube.

Ili wazo wadau mnalionaje?

Naombeni ushauri jinsi ya kuboresha ili wazo na kama kuna mtu anataka kushiriki tuwasiliane ila lazima huweze ku participate effective.

Asanteni.
 
Hii ndio inaitwa kufa kufaana.
Na nikupe pole kwamba tayari wazo lako umesha ligawa, maana wapo watu watakao lichukuwa hapa na kwenda kwenye utekelezaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ubaya wakiliiba,ndo maana uswahilini kuna maandazi road na wote wanamaliza kuuza maandazi yao,inategemeana umeenda kwa mganga gani 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Nunua materials ambazo zinahitajika kujiking na ugonjwa huo kwa sasa. Protective gears kama mask, vimiminika vya kuoshea mikono etc, demand ya hivyo vitu ikifika hapa Africa(though siombei iwe hivyo)...you can make milions.

Huko kwa wenzetu huu ugonjwa umewafanya watu wanunue bidhaa supermarkets kwa wingi sana na kwenda kujifungia majumbani mwao. kiasi kwamba supermarkets now nyingi ziko empty...hata toilet papers tu zimeisha.
 
Kwa hiyo umeona wazo langu ni ushuzi tupu??Unataka ninunue nikawauzie ulaya huko nikirudi huko niwauzie ugonjwa nyinyi??
Kuepuka hayo ndio maana nikawaza kutoa online kozi sitaki muingiliano ww unaambiwa mpk hela zenyewe zina carry virus.
 
Umenitafsiri vibaya...nimekwambia kuwa demand ya materials hizo kama mask ikifika hapa Africa ndipo uingie sokoni uuze. Ktk andiko langu sikuandika kuwa ukawauzie wazungu au wachina.
 
Acha uoga,unajiamini unatimba tu huko kwao..

Black mafua ni kitu cha kawaida sana.huwezi kufa
Kwa hiyo umeona wazo langu ni ushuzi tupu??Unataka ninunue nikawauzie ulaya huko nikirudi huko niwauzie ugonjwa nyinyi??
Kuepuka hayo ndio maana nikawaza kutoa online kozi sitaki muingiliano ww unaambiwa mpk hela zenyewe zina carry virus.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenitafsiri vibaya...nimekwambia kuwa demand ya materials hizo kama mask ikifika hapa Africa ndipo uingie sokoni uuze. Ktk andiko langu sikuandika kuwa ukawauzie wazungu au wachina.
Je kama haijafika??maana kuna nchi zimejipanga vizuri hata Napa TZ tumejipanga vizuri Corona kuingia sahau.
 
Wewe unadhani nchi za Africa amabazo Corona imefika kama Nigeria, Misri, n.k imeingiaje? Unadhani hizo nchi hazijajipanga vilivyo kuzuia maambukizi?

Amini tu kuwa Corona inaweza kuingia anytime kupitia kwa wageni au raia waliozuru nchi zenye maambukizi.
 
Nimepigia wino mwekundu!
 
ninavyomjua mchina anavyopenda fursa angeshafanya mambo mengi ya maendeleo.
Lakini CORONA SIO

Sent using Jamii Forums mobile app
_20200310_190017.JPG
 
Back
Top Bottom