Unawafahamu hawa?

Huyo wa pili kutoka kulia mstari wa nyuma mbona kama anafanana na kissu, sorry Lissu?
 
Bakili Muluzi, Mwalimu, Kaunda, Obote, Kenyatta, Haille Selassi, marshal Mobutu Seseseko, Masire,...
 
Hao walijidai wazalendo kuondoa wakoloni ila wakageuka madikteta waliokuwa wakiua wakosoaji wao
 
Maraisi wa wakati huo ilikuwa fasheni kubeba bakora au kifimbo....
Sijui walikuwa waamini nini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…