Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

Kwa maelezo niliyotoa na ulichojibu ni dhahiri tuko tofauti kubwa kama mbingu na ardhi. Huna Cha kunishauri Wala Cha kuniambia nikakusikiliza Kwa kitu ambacho Mimi mwenyew nilikuwa nahusika Moja Kwa Moja.

Ulipaswa unambie huyo chatu na Mnyama kwanini aonekane na watu wa3 tu wengine wote wasimuone?

Kwa kifupi tu wee Baki ukiamini Hivi unavyoamini uko sawa sana. Na wengine waache waamini wanancho amini.
 
Ulipaswa unambie huyo chatu na Mnyama kwanini aonekane na watu wa3 tu wengine wote wasimuone?
Ili story yako ipate uzito nitahitaji kujua hilo eneo kama huyo mnyama ambaye unashindwa kutaja jina lake na chatu ni vitu Common kwa watu eneo hilo kwa hiyo labda watu wanawaona ila sio ishu kwao na nyie mnabaki kufikiri hawajawaona.

Labda mkao wa ofisini nyie watatu ulikuwa unawawazesha nyie tu peke yenu kuwaona,

Labda pia ilikuwa ni magic tricks tu za mganga wala hakukuwa na mnyama au chatu yoyote

Labda idadi ya watu wengine wa pembeni walikuwa wachache kiasi cha kumuwezesha mganga kuwatisha au kuwahonga kiasi cha pesa aliyokuwa analipwa na ndugu yako ili wajifanye hawajaona mnyama yoyote.
 
Unachekesha mkuu. Hivi unapafahamu machimboni? Basi population inayokuwepo ni sawa na kariako watu wanavyokuwa busy.


Maeneo haya akionekana Mnyama kama Twiga ama Tembo ni maajabu wata watakusanyika.


Huku Tembo kashaonekana mara Moja tu na akauliwa mwaka2006 Hadi Sasa hajawahi onekana Tena.


Tembo na Twiga ni mfano tu lakini Mnyama hata angekuwa fisi tu anayeonekana Kila watu wangejaa na kushangaa mchana huu anatoka wapi na anaenda wapi? Mshangao mkubwa wangeshangaa kuona tukifanya vitendo vile.

Itoshe kusema unacho amini ni sawa kuwa uchawi haupo. Na Mimi ninaye amini upo usinipinge. Na ukipinga Tenga m10 nikuthibitishie simple tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…