Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kwa maelezo niliyotoa na ulichojibu ni dhahiri tuko tofauti kubwa kama mbingu na ardhi. Huna Cha kunishauri Wala Cha kuniambia nikakusikiliza Kwa kitu ambacho Mimi mwenyew nilikuwa nahusika Moja Kwa Moja.Huo msimu huyo chatu alipokuja haukuwa msimu wa neema kwa wakulima wengi? Kuna miaka Tanzania wakulima nchi nzima au baadhi ya maeneo wengi wao wanazalisha sana na miaka mazao yanakuwa haba, inawezekana ujio wa chatu uligogana na msimu wa neema kwa wakulima wengi nyie mkafiriki chatu ndiye anasababisha mzalishe sana mazao na mifugo.
Swala la madini mtu akiwa anatumia vifaa vya teknolojia ya juu anajua hapa kuna madini kiasi fulani na hapa hakuna, mchawi hawezi kuweka madini sehemu yasiyokuwepo kama ambavyo hawezi kukuongezea pesa benki kwenye akaunti yako, inawezekana wachimbaji wadogo kwa sababu wanachimba madini kwa kubahatisha yalipo waganga wanapitia humo kucheza na psychology za bahati.
Pia wanyama au viumbe wengine huwa wana tabia ya kurudi na kudumu sehemu wanajihisi salama, hao chatu walikuwa wanakuja wanaona hakuna uadui wowote na binadamu ndio maana wakawa wanaendelea kurudi kila mara, hizi ni tabia za wanyama ndio maana huko nje watu wengi tu wanafuga nyoka wakiwemo chatu kama pets.
Ulipaswa unambie huyo chatu na Mnyama kwanini aonekane na watu wa3 tu wengine wote wasimuone?
Kwa kifupi tu wee Baki ukiamini Hivi unavyoamini uko sawa sana. Na wengine waache waamini wanancho amini.