Unawajua Hawa watu???? Unawashauri nini???

Nawashauri wapande daladala linalofuata waende, hapo raia wamechoka, watapigwa kiberiti.
 
Namuona 1 the incredible, Nikki Mbishi, Zayiid kama sikosei,,, wengine sura sio ngeni ila siwajui majina.

Ila hakuna rapper ninayemkubali mwenye flow styles kali, lyrics za kueleweka mwenye kunata na beatz kama One The Incredible!

Namuelewa sana jamaa.
 
Mzee wa kudanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…