dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Mi mpaka leo humu jf nnaowahisi ni member wa kike ni hawazid watano...nyie wenzangu mnawafahamu vp?
Maana unaweza kumuita mtu bro kumbe ni pisikalina unaweza kumuita mtu dada kumbe dume..hiz id ni changamoto kwakeli..
Wadada hebu kujeni hapa na mnyoshe vidole juu tuwajue..
Mnaweza kubahatika kupata madanga ya ulaya