Unawajuaje member wa kike humu jf

Unawajuaje member wa kike humu jf

Hapo angalia avatar kama imepambwa ni mwanamke.
Harafu angalia mwandiko kama unalembwa ni wakike.
Harafu tafta nyuzi za umbea utawakuta
 
Mwandiko unakuaje yan
Kuna aina fulani ya uandishi ni exeptional kwa wanawake tu na ukiukuta kwa mwanaume bas labda ni shoga japo pia mashoga wana miandiko yao ambayo sio ya kiume wala sio ya kike ila inafanania kidogo na ya kike.
 
Back
Top Bottom