Unawakumbuka hawa enzi za "michezo" ya kwenye runinga?

Unawakumbuka hawa enzi za "michezo" ya kwenye runinga?

Luno G

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
2,549
Reaction score
1,849
Nyamayao
Kibakuri
Mhogo Mchungu
Zawadi
Mzee Kipara(R.I.P)
Mzee Pwagu(R.I.P)
Max(R.I.P)
Zembwela
Sintah
Bupe
Swebe
Nina
Mashaka
na wengine wengi,

Ninachojiuliza hivi tasnia hii inapiga hatua au inarudi nyuma?
 
Enzi hizo ITV jumaosi ikiisha 2 taarifa ya habari mnakaa stand by kusubiri mchezo ilikuwa raha sana.
 
alikuwa mtu wa misala sana haka kademumimi pia huwa nabahatisha tu sijui ratiba zake

cku za jumatano na alhamisi kuanzia saa tano usiku ila wanaludia juma mosi kama kawaida.....nimemkumbuka sana bi kidide na kipemba cha umbea..
 
Form one boarding tuliambiwa tutangulie mbele kwny maandamano usiku tukadai remote kwa ticha ili tuchek hyo michezo itv. Tukamfanyia fuju tcha,remote tukapata,mchezo tukacheki na wengne sunspension wakapewa. Hyo michezo ni bora kuliko hz muvie za sas
 
Nyamayao yuko wapi yule binti jamani
Alikuwa natural, kibakuli nae lol!
Wapi kemi, swebe, nina
 
Yuko wapi yule dada alikuwa anaitwa KISA, mke wa Dr Cheni
Zawadi nae......
Eti nina housegirl, h/g alikuwa na vituko balaa
 
Nina siku iz mambo safi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom