BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
Nyamayao
Kibakuri
Mhogo Mchungu
Zawadi
Mzee Kipara
Mzee Pwagu
Max(R.I.P)
Zembwela
Sintah
Bupe
Swebe
Nina
Mashaka
na wengine wengi,
Ninachojiuliza hivi tasnia hii inapiga hatua au inarudi nyuma?
..Mkuu, naona umemuwekea RIP Max pekee. Mzee Kipara ba kama sikosei Mzee Pwagu (huyu nitaomba kusahihishwa) Wote ni RIP waliishafariki...katika hali ya Umasikini Unaosikitisha.