alikuwa mtu wa misala sana haka kademuNyamayao...namkumbuka sana
mimi pia huwa nabahatisha tu sijui ratiba zakeIle michezo ya zamani ni bora sana kuliko hizi filamu zetu ambazo jambazi anavua viatu na jini anaogopa kuvuka road. Huwa naibahtshaga itv ila sijui ratiba yake wanarudia lini
alikuwa mtu wa misala sana haka kademumimi pia huwa nabahatisha tu sijui ratiba zake
kuna mdada alikuwa anaitwa tabia (kikojozi) yupo wapi jamani KIDEDEA