Unawakumbuka hawa wachezaji?

Ni kweli Rifat Said alichezea Yanga akiwa golikipa wa kutegemewa. Alikuja kupata mtihani wa ugonjwa wa macho na kupofuka kabisa. Hakuwahi kuona tena hadi mauti yalipomkuta. Mungu Amrehemu na amfanyie wepesi hesabu yake
Misumali nini?,maana kipindi kile alikuwa akigombea namba na Stiven Nemes....Alale pema.
 
Daaa ila nakumbuka APR ya Rwanda 1995 iliyofungwa goli moja na Simba,goli la Bita John. Kuna michezaji km
1.Sengiumva Pompiduu
2.Mbui Shaa Malii
3.Ndikumana majidi
4.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha hao jamaa walikuwa maarufu sana kama George Semogerere wa The Express ya Uganda
 
Daaa ila nakumbuka APR ya Rwanda 1995 iliyofungwa goli moja na Simba,goli la Bita John. Kuna michezaji km
1.Sengiumva Pompiduu
2.Mbui Shaa Malii
3.Ndikumana majidi
4.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Eric Nsingiriyumna
Nsingiriyumna Pompidou
Mbuyi Jean Marie
Ndikumana Magid

Mkuu umenikumbusha mbali. Ni kweli APR alilala 1-0 pale shamba la bibi
 
Hahaaaa asante kwa kunirekebisha uandishi wa hayo majina. Hao jamaa walikua ni warefuu aafu mipande kwelikweli. Karibia timu nzima yanatumia mguu wa kushoto. Bita John anawapiga goli dk ya 115 muda wa nyongeza. Noma sn mkuu back in the days
Eric Nsingiriyumna
Nsingiriyumna Pompidou
Mbuyi Jean Marie
Ndikumana Magid

Mkuu umenikumbusha mbali. Ni kweli APR alilala 1-0 pale shamba la bibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…