Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misumali nini?,maana kipindi kile alikuwa akigombea namba na Stiven Nemes....Alale pema.Ni kweli Rifat Said alichezea Yanga akiwa golikipa wa kutegemewa. Alikuja kupata mtihani wa ugonjwa wa macho na kupofuka kabisa. Hakuwahi kuona tena hadi mauti yalipomkuta. Mungu Amrehemu na amfanyie wepesi hesabu yake
Yaah kipindi cha yule mzee Naushard Mohamed...
Beki wa kushoto,kulia alikuwa marehem Raphael Paul(R.I.P)....Baada ya kustafu kwa noriega ndo akaja Alphonce Modest...Marehemu Twaha Hamidu "Noriega" alikua beki wa kulia wa kupanda na kushuka wa wana Msimbazi
Kuna akina Thobias Nkoma, kiboko ya Twaha alikuwa sure boy wa Yanga. Na Twaha alikomeshwa na marehemu Chikwalakwala Ccm KIrumbaBeki wa kushoto,kulia alikuwa marehem Raphael Paul(R.I.P)....Baada ya kustafu kwa noriega ndo akaja Alphonce Modest...
Unamzingumzia Samli Ayubu?
R.I. P Rifati!!Ni kweli Rifat Said alichezea Yanga akiwa golikipa wa kutegemewa. Alikuja kupata mtihani wa ugonjwa wa macho na kupofuka kabisa. Hakuwahi kuona tena hadi mauti yalipomkuta. Mungu Amrehemu na amfanyie wepesi hesabu yake
Duuu kweli alikuwa maarufu sana. Twaha Hamidu kama sijasahau alipita Malindi sijui kabla ya simbaMkuu vpi kuhusu Twaha Amidu alichezea vilabu gani? Nae nilikua namsikia sn enzi hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha Mohammed Kacgumbari
Ha ha ha hao jamaa walikuwa maarufu sana kama George Semogerere wa The Express ya UgandaDaaa ila nakumbuka APR ya Rwanda 1995 iliyofungwa goli moja na Simba,goli la Bita John. Kuna michezaji km
1.Sengiumva Pompiduu
2.Mbui Shaa Malii
3.Ndikumana majidi
4.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Eric NsingiriyumnaDaaa ila nakumbuka APR ya Rwanda 1995 iliyofungwa goli moja na Simba,goli la Bita John. Kuna michezaji km
1.Sengiumva Pompiduu
2.Mbui Shaa Malii
3.Ndikumana majidi
4.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha hao jamaa walikuwa maarufu sana kama George Semogerere wa The Express ya Uganda
Eric Nsingiriyumna
Nsingiriyumna Pompidou
Mbuyi Jean Marie
Ndikumana Magid
Mkuu umenikumbusha mbali. Ni kweli APR alilala 1-0 pale shamba la bibi
Nico bambagaSikumbuki vzr kama hawa wachezaji walikuwa ni wa Malindi au Mlandege ya Zanzibar, ila nakumbuka miaka ya 90s nikiwa mdogo nilikua nikisia balaa lao.
1. Victor Bambo (Shujaa)
2. Hassan Wembe
3. Amri Aziz
4. Muhidini Cheupe
Yaani japo ilikua ni Redioni ila walikua ni shida!
Sent using Jamii Forums mobile app