Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
- Thread starter
-
- #41
Mkuu km kumbu kumbu yako iko vizuri hebu tutajie kikosi cha Stella Abidjan kilichoifunga Simba fainali ya kombe la CAF pale taifa
Mi nawakumbuka:-
1.Bolizozo
2. Maya maya (kama sijakosea long time sn ujue! Nearly 30 years back.)
3.
4.
Nakumbuka ile gemu bana Damian Kimti (RIP) iliingia kipindi cha pili wakati Simba kaishachapwa 2:0. Aliingia kwa hasira aliwakimbiza sn hao jamaa mpaka tukawa tunajiuliza kwanini hakuanza? Inaelekea Dewji hakumhusisha kwenye ile dili ya kupanga matokeo. Mpira unaisha jamaa analia sn.
Sent using Jamii Forums mobile app

Eric Nsingiriyumna
Nsingiriyumna Pompidou
Mbuyi Jean Marie
Ndikumana Magid
Mkuu umenikumbusha mbali. Ni kweli APR alilala 1-0 pale shamba la bibi
Sent using Jamii Forums mobile app