Unawakumbuka hawa wachezaji?

Unawakumbuka hawa wachezaji?

Mkuu km kumbu kumbu yako iko vizuri hebu tutajie kikosi cha Stella Abidjan kilichoifunga Simba fainali ya kombe la CAF pale taifa
Mi nawakumbuka:-
1.Bolizozo
2. Maya maya (kama sijakosea long time sn ujue! Nearly 30 years back.)
3.
4.
Nakumbuka ile gemu bana Damian Kimti (RIP) iliingia kipindi cha pili wakati Simba kaishachapwa 2:0. Aliingia kwa hasira aliwakimbiza sn hao jamaa mpaka tukawa tunajiuliza kwanini hakuanza? Inaelekea Dewji hakumhusisha kwenye ile dili ya kupanga matokeo. Mpira unaisha jamaa analia sn.
Eric Nsingiriyumna
Nsingiriyumna Pompidou
Mbuyi Jean Marie
Ndikumana Magid

Mkuu umenikumbusha mbali. Ni kweli APR alilala 1-0 pale shamba la bibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Victor Bambo alicheza hata Yanga vizuri tu. Mmewasahau kina Rifat Said mlinda mlango nadhani alikipiga sana Malindi kama sikosei baadae Yanga, pia kuna Ali Bushiri huyu alikuwa mlinda mlango wa mlandege kama sikosei. Wapi Abert Sengo? Alikipiga hadi ujerumani sijui ligi daraja la pili au tatu vile?!
Alli Bushiri alikuwa Malindi kama sijakosea! Alikuwa anajua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Selestine sikinde Mbuga, jimmy Morred, Danfod Ngezi. Patrick Betweel Afrika, mbaga Mwintiku na daud kufakunoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanataja wachezaji wenye asili au waliocheza Zanzibar we unakurupuka tu kujitajiatajia tu majina.Nyinyi ndio mnajaza paper 5 ktk mtihani halafu mmejibu off point mnampa shida mwalimu anaamua akukadirie akupe angalau marks 2

Akili zako nahisi ni punguani ama punga ww. Kasema wapi wachezaji waliochezea Zanzibar zaidi ya kusema hakumbuki kama walichezea Malindi au Mlandege. Kutaja hayo majina sio kukurupuka ni kukumbushana usiwe umebeba kichwa mabegani haujui matumizi yake hata nikijaza space kuna jambo linakukera na kukukwaza bibie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakukuwaga na Mwinyimkuu!?
Abdallah Mwinyimkuu alikua ni kiungo wa Simba miaka ya mwanzo na mwishoni ya 1980s. Baada ya kustaafu soka aliendelea na ajira yake wakati huo akiwa muhasibu katika Halmashauri ya Wilaya ya Tabora Mjini(sasa Manispaa)

Kwa masikitiko makubwa Abdallah Mwinyimkuu aliwahi kupata matatizi kuhusiana na ajira yake kama muhasibu na akapatikana na kosa mahakamani na kisha alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela. Baadae alikuja kufariki dunia
 
Dooh Apumzike kwa Amani! Asante mkuu
 
Back
Top Bottom