naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Na walikua viwembe kweli kweli kulikua na rumours kutokana na kufanana sana demu wa mmoja wao akijichanganya kuwafananisha mwingine anakula pia!maskini! wote walikufa bado vijana, inaonekana wali succumb to the complications of the new disease. jamani mwenyezi mungu atanusuru waswahili, tunakwisha na huu ugonjwa