Unawakumbuka Kyanga Songa na Kassaloo Kyanga???

maskini! wote walikufa bado vijana, inaonekana wali succumb to the complications of the new disease. jamani mwenyezi mungu atanusuru waswahili, tunakwisha na huu ugonjwa
Na walikua viwembe kweli kweli kulikua na rumours kutokana na kufanana sana demu wa mmoja wao akijichanganya kuwafananisha mwingine anakula pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…