Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Prof. Amandina Lihamba - PENZI KITOVU CHA UZEMBE. Kilinifurahisha sana kile kitabu.
Umezingua, kile kitabu kaandika Adam Semzaba .Prof. Amandina Lihamba - PENZI KITOVU CHA UZEMBE. Kilinifurahisha sana kile kitabu.
Pia aliandika Kaputura la MaxKezilahabi-Dunia uwanja wa fujo
Na kitabu Cha Rosa mistika
Ongezea na Mtambo wa Mauti.Mikataba ya kishetani ben mtobwa
Mikononi mwa nunda ben mtobwa
Tutarudi na roho zetu ben mtobwa
Roho ya paka ben mtobwa n.k
Sorry Chief; nilichanganya na HAWALA YA FEDHA.Umezingua,kile kitabu kaandika Adam Semzaba .
Poa mkuuSorry Chief; nilichanganya na HAWALA YA FEDHA.