Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mkuu8 mashine ya kazi! Geremi njitap
12 lauren etame mayer
3. Pierre wome
10 patrick mboma
17. Al marhum marc vivien foe
20 salomon olembe
4. Rigobert song
9. Samuel Eto’o fils
5. Kalla
1. Boukar
2. Bill Tchato
Ninachokumbuka ni iyo jezi yao tu ilikua imeshonwa moja kwa moja aina kuchomekewa wala kuchomolewa[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuona hapo Kanu Kunuka anasepa na Kijiji kwa mwendo wa Kobe,Kama hataki vile.
Hapo modestus mbami yupo benchi late foe anakiwasha balaa8 mashine ya kazi! Geremi njitap
12 lauren etame mayer
3. Pierre wome
10 patrick mboma
17. Al marhum marc vivien foe
20 salomon olembe
4. Rigobert song
9. Samuel Eto’o fils
5. Kalla
1. Boukar
2. Bill Tchato
Hiki ni kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon, Indomitable Lions (Simba Wasioshindika) kilichoshiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2002 na baadae mwaka huo Kombe la Dunia la Fifa pale Korea Kusini na Japan.
Cameroon walikuja na jezi zenye muundo wa singlend, lakini Fifa iliwabania wasishiriki nazo kwenye Kombe la Dunia.
Unaweza kuwakumbuka wachezaji wangapi katika kikosi hiki?
View attachment 1434684
Sent from my iPhone using Tapatalk
Walikuwa wanaivaaje na kuivua mkuu?Ninachokumbuka ni iyo jezi yao tu ilikua imeshonwa moja kwa moja aina kuchomekewa wala kuchomolewa[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanaivaaje na kuivua mkuu?
Naongezea Ndief mkuu8 mashine ya kazi! Geremi njitap
12 lauren etame mayer
3. Pierre wome
10 patrick mboma
17. Al marhum marc vivien foe
20 salomon olembe
4. Rigobert song
9. Samuel Eto’o fils
5. Kalla
1. Boukar
2. Bill Tchato
Daaah Pierre wome mbavu ya kushoto akaja kustaafu kisa mizengwe ya kina Etoo, hiyoo ni baada kukosa penat8 mashine ya kazi! Geremi njitap
12 lauren etame mayer
3. Pierre wome
10 patrick mboma
17. Al marhum marc vivien foe
20 salomon olembe
4. Rigobert song
9. Samuel Eto’o fils
5. Kalla
1. Boukar
2. Bill Tchato
Daaah Pierre wome mbavu ya kushoto akaja kustaafu kisa mizengwe ya kina Etoo, hiyoo ni baada kukosa penat
Halafu unavaaje?Ninachokumbuka ni iyo jezi yao tu ilikua imeshonwa moja kwa moja aina kuchomekewa wala kuchomolewa[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimwangushia jumba bovuuuKama sikosei ni 2005 game vs egypt dakika za lala salama kabisa, akaenda kupiga penati akakosa, Ivory Coast wanaenda world cup
Ila ni Washenzi tu, wao wenyewe Eto’o na song hawakutaka kuipiga ile penati.
Yupo Rigobert Song, Eto`oHiki ni kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon, Indomitable Lions (Simba Wasioshindika) kilichoshiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2002 na baadae mwaka huo Kombe la Dunia la Fifa pale Korea Kusini na Japan.
Cameroon walikuja na jezi zenye muundo wa singlend, lakini Fifa iliwabania wasishiriki nazo kwenye Kombe la Dunia.
Unaweza kuwakumbuka wachezaji wangapi katika kikosi hiki?
View attachment 1434684
Sent from my iPhone using Tapatalk