Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hiki ni kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon, Indomitable Lions (Simba Wasioshindika) kilichoshiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2002 na baadae mwaka huo Kombe la Dunia la Fifa pale Korea Kusini na Japan.
Cameroon walikuja na jezi zenye muundo wa singlend, lakini Fifa iliwabania wasishiriki nazo kwenye Kombe la Dunia.
Unaweza kuwakumbuka wachezaji wangapi katika kikosi hiki?
Sent from my iPhone using Tapatalk