Unawakumbuka wale vipanga?

Unawakumbuka wale vipanga?

Aise leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ya 2003 enzi hizo naanza form one shule fulani. Enzi hizo ilikuwa shule ya serikali lakini ya vipaji; aisee hapa nilikutana na vipanga humo darasani mpaka naona kero, maana ilikuwa too much

Lakini nilijivunia sana kuwa pale maana nilijifunza mengi ikiwamo kujibidisha katika kusoma kwa vile wote walikuwa vipanga hatari, achana na hawa viazi wa Siku hizi .[emoji120][emoji120][emoji120][emoji119][emoji119][emoji119]
2003 unaanza form one kipindi hiko marehemu Mungai alisha ivuruga sana elimu ya hapa Jamhurini,kisha ati wewe unajiita na hao wenzio vipanga.....duhhh!!!Ndiyo maana ni'ngumu sana kuiondoa CCM madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Darasani kwetu kulikuwa na vipanga sana, lakini vipanga hatari zaidi, walikuwa kama sita hivi. Kuna hilo lihaya mmoja hivi na lenzake limasai yalikuwa ni moto wa kuotea mbali.

Unaweza ukapata mtihani 90 ya hesabu ukajua leo nimewaweza kesho mnakuja kutangaziwa kwamba lile lihaya limepata 98, unatamani hata kulia unashindwa.

Kuna lijamaa jingine lilikuwa linyarwanda lilikuwa lina hatari sana, lilikuwa linafahamu vitu hadi walimu wakaanza kuliita Encyclopedia. Wewe sema kitu, jamaa linajua. Sema lilikiwa na accent mbaya kweli kwenye English tulikuwa tunalicheka kichizi linachukia kinoma.
 
Wewe haukuwepo hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ngozi nyeusi kipanga...mlikuwa vilema wote....kama unabisha tuambie mmelifanyia nn taifa hili... Alafu wakati huo ukumbuke technology ilikuwa haipaa sana kama sasa..
 
Darasani kwetu kulikuwa na vipanga sana, lakini vipanga hatari zaidi, walikuwa kama sita hivi. Kuna hilo lihaya mmoja hivi na lenzake limasai yalikuwa ni moto wa kuotea mbali.

Unaweza ukapata mtihani 90 ya hesabu ukajua leo nimewaweza kesho mnakuja kutangaziwa kwamba lile lihaya limepata 98, unatamani hata kulia unashindwa.

Kuna lijamaa jingine lilikuwa linyarwanda lilikuwa lina hatari sana, lilikuwa linafahamu vitu hadi walimu wakaanza kuliita Encyclopedia. Wewe sema kitu, jamaa linajua. Sema lilikiwa na accent mbaya kweli kwenye English tulikuwa tunalicheka kichizi linachukia kinoma.

🤣🤣🤣🤣 ww ni kipanga pia!
 
Dah hapa waliokua wanaanza ile vidudu sijui std 1 miaka hio hawana lakusimulia
Hapa watu wanabishana na kutukanana na babu zao bila kujua.

Mtu kasoma shule ya mkoloni anajibizana na mtu kamaliza form four ya Magufuli.

Halafu aliyesoma shule ya mkoloni anaambiwa "wee dogo tulia".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipanga ni walio fresh kichwani?
sielewi elewi

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Back
Top Bottom