MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Acha matusi bwanaaaaaa [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji23][emoji23] mbona we unajiita Lumumba hatukushangai sasa unashangaa nini mtu kujiita Mishil? Mimi Tabora boys hata sikuwa naijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio unaniambia sasa hivi kuwa baba wa taifa amesoma tabora boysAcha matusi bwanaaaaaa [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Wewe Tabora Boys usiijue, shul aliyosoma Baba wa Taifa kweli. Sheeesh...........
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Na ndio unaniambia sasa hivi kuwa baba wa taifa amesoma tabora boys
Sent using Jamii Forums mobile app
2003 unaanza form one kipindi hiko marehemu Mungai alisha ivuruga sana elimu ya hapa Jamhurini,kisha ati wewe unajiita na hao wenzio vipanga.....duhhh!!!Ndiyo maana ni'ngumu sana kuiondoa CCM madarakani.Aise leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ya 2003 enzi hizo naanza form one shule fulani. Enzi hizo ilikuwa shule ya serikali lakini ya vipaji; aisee hapa nilikutana na vipanga humo darasani mpaka naona kero, maana ilikuwa too much
Lakini nilijivunia sana kuwa pale maana nilijifunza mengi ikiwamo kujibidisha katika kusoma kwa vile wote walikuwa vipanga hatari, achana na hawa viazi wa Siku hizi .[emoji120][emoji120][emoji120][emoji119][emoji119][emoji119]
Kipindi cha miaka gani,yaani kuanzia lini mpaka lini?Vipanga orijinale walikuaga Mzumbe secondary jamani!na Mafinga seminary!umpe hesabu gan dent wa mafinga seminary ashindwe[emoji28]!dah
Not precisely genius but rather being smart upstairs,academically.
Wewe haukuwepo hapo?Darasani kwetu kulikuwa na vipanga sana, lakini vipanga hatari zaidi, walikuwa kama sita hivi. Kuna hilo lihaya mmoja hivi na lenzake limasai yalikuwa ni moto wa kuotea mbali.
Unaweza ukapata mtihani 90 ya hesabu ukajua leo nimewaweza kesho mnakuja kutangaziwa kwamba lile lihaya limepata 98, unatamani hata kulia unashindwa.
Kuna lijamaa jingine lilikuwa linyarwanda lilikuwa lina hatari sana, lilikuwa linafahamu vitu hadi walimu wakaanza kuliita Encyclopedia. Wewe sema kitu, jamaa linajua. Sema lilikiwa na accent mbaya kweli kwenye English tulikuwa tunalicheka kichizi linachukia kinoma.
Sijawahi kuwa kipanga mkuu.
Ooh sawa.Sijawahi kuwa kipanga mkuu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Poa poa mkuu
2000's!
Darasani kwetu kulikuwa na vipanga sana, lakini vipanga hatari zaidi, walikuwa kama sita hivi. Kuna hilo lihaya mmoja hivi na lenzake limasai yalikuwa ni moto wa kuotea mbali.
Unaweza ukapata mtihani 90 ya hesabu ukajua leo nimewaweza kesho mnakuja kutangaziwa kwamba lile lihaya limepata 98, unatamani hata kulia unashindwa.
Kuna lijamaa jingine lilikuwa linyarwanda lilikuwa lina hatari sana, lilikuwa linafahamu vitu hadi walimu wakaanza kuliita Encyclopedia. Wewe sema kitu, jamaa linajua. Sema lilikiwa na accent mbaya kweli kwenye English tulikuwa tunalicheka kichizi linachukia kinoma.
Sijawahi hataa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww ni kipanga pia!
Hapa watu wanabishana na kutukanana na babu zao bila kujua.Dah hapa waliokua wanaanza ile vidudu sijui std 1 miaka hio hawana lakusimulia
Nilikuwa nakufahamu mkuu..Wewe vipanga wa Tabora Boys ulikuwa unawafahamu ???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]