Unawakumbuka Wangapi Kwenye Picha hii?

Unawakumbuka Wangapi Kwenye Picha hii?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hiki ni kikosi cha Brazil (Selecao) ambapo picha hii ilipigwa mwanzoni mwa miaka ya 2000. Je ni wachezaji hapo unawakumbuka, wataje
1c800d6c6fc5ed37f563cdf2d1532dac.jpeg
 
nimemuona CAF, Roberto Carlos na Delima.. aisee hiyo ilikua ni zaidi ya balaa

Sent usingJamii Forums mobile app
 
... Nikimuona Dida namkumbuka Cristiano Ronaldo kila alipojaribu kumfunga OT akiwa na Man U akafeli, rooney akambahatishaga.
... Hapo nimeona watu wawili ambao sijawahi kuwapinga pale ambapo wazungumzia burudani katika soka, nao ni De lima na Gaucho, hivi ni vipaji haswa vya mpira.
 
Back
Top Bottom