Unawapenda Netflix au Disney?

Unawapenda Netflix au Disney?

manonawire

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
943
Reaction score
1,223
Habari zenu waungwana

Poleni sana na majukumu ya kujenga Tz ya vwonder
Nielekee m1 kwa m1 kwny mada,Twenty 19 inaelekea kuisha na kumekuwa na mambo mengi kwelikweli kuhusu tasnia. Ila leo ningependa kujua kuhusu tasnia hii ya movies huko majuu.

Binafsi naangalia sana movie kadiri niwezavyo, ila kumekuwa na hizi cjui niseme n kampuni au n viwanda

Netflix $ Disney

Hawa jamaaa wamekuwa wakitoa kazi bora sana kama sio mno na mwaka huu ndio wamezidii kutisha

Embu tupige kura kwa ww kudrop comment yako ya kwamba n wap unawapenda zaidi kucheki kazi zao
 
Bado sijaelewa nini unamaanisha,Disney ni studio inayojihusisha na utengenezaji movie.

Netflix ni website ya kupakulia movie au kuangalia mtandaoni,sindhani kama wanamiliki na studio ya utengenezaji movie.

Kwa maana hiyo hapo juu hao wawili hawawezi kushindana kwakuwa mmoja wao ni mkulima amabaye ni Disney na Netflix ni mchuuzi Wa mtandaoni.

Pia Netflix anakuwa akishirikiana na wakulima wengine ambao ni kama dream work na hawa nao pia wanazalisha bidhaa sawa na Disney wote wana tengeneza Animation
Ingekuwa poa kama unge washindanisha hao Disney na Dream work.

Na mwisho kabisa kuna Uzi upo Wa kulinganisha kazi za Sanaa ya katuni na zimetajwa studio nyingi jaribu kuutafuta utapata kujuwa ni Studio ipi ipo vizuri katika uzalishaji Wa katuni.
 
Kama unawasifia Netflix eti wanatoa muvi nzuri..basi unahitaji upigwe hadi kichwa kilie kama ngoma za daku
mtoa mada umejichanganya

Asanteni sana nadhani nirudi nikajifunze zaid
 
mkuu ulikuwa unamanisha Disney plus ? kama hivyo mimi namuelwa Netflix , disney plus bado sijawahi tumia,ila kwenye ishu ya documentary HULU namuelewa zaidi.
 
Back
Top Bottom