Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mimi nimejifunza kuwa mtihani mmoja sio milele .Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya kidato cha sita 2025, wanafunzi wamepokea taarifa hizo kwa hisia tofauti. Wapo waliopata matokeo mazuri, yakawapa nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu, jambo ambalo limeleta furaha na matumaini mapya katika maisha yao ya kielimu.
Hata hivyo, wapo pia wanafunzi ambao matokeo yao hayakufikia viwango vya kujiunga na vyuo vikuu. Kwao, huu unaweza kuwa wakati mgumu, wa masikitiko na maswali mengi kuhusu hatma ya maisha yao.
Ni muhimu kufahamu kwamba, hata kama matokeo hayakuwa mazuri kama ulivyotarajia, hiyo haimaanishi kuwa maisha yamesimama au kwamba umefeli milele. Hili ni jambo la muda na bado una nafasi kubwa ya kusimama tena, kupanga upya, na kuendelea na safari yako ya maisha kwa njia tofauti lakini yenye mafanikio.
MwanaJF, unawashauri nini wanafunzi
Uko sahihi,elimu ya bongo huwa haina kanuni ya moja kwa moja yenye mtiririko.Mimi nimejifunza kuwa mtihani mmoja sio milele .
Kwahiyo Vijana wasikate tamaa wajipange upya .
Nimewahi kumfundisha jamaa alipata zero akaja kurudia paper 2017 la form four na mwaka 2018 matokeo yalipotoka akapata marks za kujiunga chuo certificate na alipomaliza 2019 mwisho akapata ajira Kama mtendaji wa kijiji
Alikuwa na 38yrs means alikuwa kanipata Sana umri
Ila kwa sasa Ana degree yake yake ya sociology.
So all I know vijana wasikate tamaa waangalie njia mbali mbali na waamini kuwa nothing impossible
Hakika Elimu yetu imekaa kimkakati Sana mkuuUko sahihi,elimu ya bongo huwa haina kanuni ya moja kwa moja yenye mtiririko.
Ni elimu ya kutishana tu,si ajabu mtu akafeli kidato cha nne kisha mtu huyo huyo akarisiti halafu kidato cha sita akapata division 1 sasa utashangaa huyo mtu alibadilisha kichwa au ni kichwa chake kile kile?
Mimi nina rafiki zangu fulani nakumbuka walifeli darasa la 7 au tuseme hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ila wakaingia Private schools na kidato cha 4 na 6 walifaulu vizuri kuwazidi wale ambao waliamini walifaulu darasa la 7,pia nina rafiki zangu wengine walifeli kidato cha 4 wakaungaunga wakafika form 6 na kufaulu kisha wakaingia chuo kikuu.
Hayo ndio maajabu ya elimu yetu.
Mm nashauri waende veta. Maisha siyo kusoma tuMimi nimejifunza kuwa mtihani mmoja sio milele .
Kwahiyo Vijana wasikate tamaa wajipange upya .
Nimewahi kumfundisha jamaa alipata zero akaja kurudia paper 2017 la form four na mwaka 2018 matokeo yalipotoka akapata marks za kujiunga chuo certificate na alipomaliza 2019 mwisho akapata ajira Kama mtendaji wa kijiji
Alikuwa na 38yrs means alikuwa kanipata Sana umri
Ila kwa sasa Ana degree yake yake ya sociology.
So all I know vijana wasikate tamaa waangalie njia mbali mbali na waamini kuwa nothing impossible
And ik a comment yako inayojitegemeaMm nashauri waende veta. Maisha siyo kusoma tu
Aaaah pw 😂😂 mm nashauri diplomaxpia ni chagu zuri kwao sema wakasome kozi ambazo mtu anaweza?jiajiri mwenyeweAnd ik a comment yako inayojitegemea