Unawasiliana au mnawasiliana?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Baada ya takribani mwezi mmoja wa aliodhani wanawasiliana,
kumbe alikuwa anawasiliana.
Ilifika muda wakagombana...na maongezi yalikuwa hivi.

Me: tena hiyo namba yangu uifute
ke: ungejua hata hiyo # yako sijaisave hata usingesumbuka.......

Ninachojiuliza>>hivi inakuwaje unawasiliana na mtu zaidi ya mwezi na hujasave # yake?
Je ni dharau au unakuwa umeiweka kichwani? ...

Zifuatazo ni dalili za mtu ambaye hajasave # yako

1. Hatumi text mpaka umtumie wewe

2. Hapigi simu kwa kuwa hana namba yako

3. Hawezi kukutaja jina kwenye text zake, sababu hajui jina lako

4. Lazima utakutana na maswali ya we nani?

Kinachofurahisha> mtu kama huyo anapokuja kuona umuhmu wa # yako na kuisave we unakuwa tayari umeshadelete yake.
 
Sijaelewa hii thread yako. Hebu jipange vizuri tukuelewe

''yame kukuta au umetendwa?''
 
Gwankanja..... Mtu kutosave # yako sio dharau.... Ndio! Dharau yaweza kua ni moja ya main reasons. Sababu kubwa ya most ya wapenzi kuto save number baadhi ni zifuatazo;


  1. Kaoa/Olewa, hivo haitakiwi asevu hio number hasa kama anacheat, ili hata kama ikitokea bahati mbaya imekutwa hio message, muhusika ni rahisi kukataa kua number haitambui na ni wrong number.
  2. Hajaoa/Olewa ila ana wapenzi wengi na hupenda jifanya yupo huru na simu yake. Watu wapo really committed hasa maarufu kwa kucheat. Akijua week hii yupo na Mpenzi Asha bega kwa bega, simu week hio jina litaseviwa kwa Darling Asha. lol Sad but true....
  3. Huna umuhimu kwake... hasa kama msha lalana.

Alafu IMO naona ni ushamba mno wapenzi wakigomba alafu wasema futa number yangu... What are you trying to prove? Hata kama sijafuta mimi nitasema nimefuta. Na kweli ni wachache ambao hawashiki # za wapenzi wao...
 
kama umeona always wewe ndiye unayeanzisha mawasiliano kwa mwenzako,kumbuka na hapo mwanzon wakati wa mapenzi yenu nani alikuwa anatuma message na kupig zaidi,na ukute ulikuwa hata simu hupokei na kuboreka,so ukiona changes kama hizo don't be shocked.
 
ASHADII I LIKE ur points..Mwingine anakuambia dont text me love MESSAGES,huku akipiga anakuita mpenzi,but in text no..hahaha..why shuld you save namba ya mtu kama huyo..IS A CHEATER...
 
ASHADII I LIKE ur points..Mwingine anakuambia dont text me love MESSAGES,huku akipiga anakuita mpenzi,but in text no..hahaha..why shuld you save namba ya mtu kama huyo..IS A CHEATER...


Thanks Dear.... Maryne, nadhani ni makubaliano... Huyo mpenzi wako anapocheat, is s/he cheating on you OR on the other na wewe ndio wachangia amcheat the other? lol

Hapo asipokusave.... Usilalame, what do you expect kama wajua s/he is committed. Then you will have to adhere to the rules... huwezi the rules of the game then don't play the dangerous game.
 
Sijaelewa hii thread yako. Hebu jipange vizuri tukuelewe

''yame kukuta au umetendwa?''

inawezekana kweli hujaelewa, unapodai "jipange vizuri ili tukuelewe", mnielewe wewe na nani?
 
mkuu ukiona hivyo jua ww upo kwenye folen karibia na mkiani,
Nikimaanisha kama mpo 14 basi ww ni 13 au 14.
Pima faida na hasara za kuwa na mtu kama huyu then changanya za zako.......................................
 
looks like matatizo mengi ya mapenzi yana-revolve around mawasiliano ya simu these days
 
looks like matatizo mengi ya mapenzi yana-revolve around mawasiliano ya simu these days

naamini matatizo karibia yote huwa yanasababishwa na haka kakifaa
 
usikute hata operational cost za hako kasimu ni zako teh teh teh
 
Ukiona hivyo you just take it easy bana although I know its kind of hard bt that's the least u can do, maanake haina maana kusononeka wakati mwenzio wala hata hana habari, life is too short,enjoy it.
 
haina maana kusononeka wakati mwenzio wala hata hana habari, life is too short,enjoy it.

mmh, utaenjoy vipi sasa kama unayempenda hana habari na wewe? hebu dadavua kidogo hapo mirhea...
 
Mambo ya sim ni usanii mtupu! Kwenye sim ni kupanga tu tuonane wapi, na kuambiana good night au good morning.
Mapenzi ni live. Ukiona mtu anashindwa kua nawe live kila mara basi achana nae tafuta ambae yuko ready to spend sometime with you. Katika huo mwezi mmoja umetaja hapo juu, mlionana mara ngapi?
Kuna watu wanatuma up to 150msg per day, ila mnaonana mara moja kwa wiki. Sasa hapo si unajidanganya mwenyewe kua kuna mawasiliano ya kimapenzi???
 
mmh, utaenjoy vipi sasa kama unayempenda hana habari na wewe? hebu dadavua kidogo hapo mirhea...
Kama unayempanda hana time na wewe ina maana gani sasa kumuwaza tht much jamani, si bora utafute ustaarabu mwingine. Au wewe waonaje??
 
love needs communications and to see each other,,maybe kama its a long distance relationship...

some people stays in the same region but they even not see each other,they just talk in the fone and its done.That kind of love is kids love lol.

Couples nids to spend time together and communicate..thats love is..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…