Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Baada ya takribani mwezi mmoja wa aliodhani wanawasiliana,
kumbe alikuwa anawasiliana.
Ilifika muda wakagombana...na maongezi yalikuwa hivi.
Me: tena hiyo namba yangu uifute
ke: ungejua hata hiyo # yako sijaisave hata usingesumbuka.......
Ninachojiuliza>>hivi inakuwaje unawasiliana na mtu zaidi ya mwezi na hujasave # yake?
Je ni dharau au unakuwa umeiweka kichwani? ...
Zifuatazo ni dalili za mtu ambaye hajasave # yako
1. Hatumi text mpaka umtumie wewe
2. Hapigi simu kwa kuwa hana namba yako
3. Hawezi kukutaja jina kwenye text zake, sababu hajui jina lako
4. Lazima utakutana na maswali ya we nani?
Kinachofurahisha> mtu kama huyo anapokuja kuona umuhmu wa # yako na kuisave we unakuwa tayari umeshadelete yake.