Unawasilianaje na mtu msiyeelewana lugha?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Ikitokea umekutana na mtu amabaye hamuelewani lugha kabisa iwe katika mambo ya kijamii, kazi, biashara au michezo na hakuna mkalimani huwa mnawasilianaje muelewane?

Yaani kama unajua Kiswahili tu na umekutana na mtu anajua Kifaransa, Kiarabu, Kichana au lugha nyingine tu tofauti na Kiswahili mnawasilianaje? Au ndio unabaki kujichekelesha na kuwasiliana kwa lugha ya ishara?
 
Lugha ya ishara ndo mpango mzima. Inakuwaje mkuu binadamu ameweza kuwasiliana hata na ng'ombe, mbwa n.k. halafu unauliza eti anashindwa kuwasiliana na binadamu mwenzake???
 
Back
Top Bottom