Ikitokea umekutana na mtu amabaye hamuelewani lugha kabisa iwe katika mambo ya kijamii, kazi, biashara au michezo na hakuna mkalimani huwa mnawasilianaje muelewane?
Yaani kama unajua Kiswahili tu na umekutana na mtu anajua Kifaransa, Kiarabu, Kichana au lugha nyingine tu tofauti na Kiswahili mnawasilianaje? Au ndio unabaki kujichekelesha na kuwasiliana kwa lugha ya ishara?