Unawaweka kundi gani watu hawa?

Unawaweka kundi gani watu hawa?

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
2,502
Reaction score
741
Jamani, utashangaa unakutana na libaba mtu mzima, ameshafika kwenye 30s, ila bado story zake ni "you know my girl friend", yaani bado anaendekeza tu mambo ya girlfriend. sitaenda kwa wanawake kwa leo...yaani miaka yote hii hajaweka mtu ndani bado anahangaika na girlfriend....
 
1.Ng'ombe hazeeki maini mkuuuu.
2.Aaaah, kwani DAR kuna wazeee,ukiondoa wazee wa hapa JF wengine ni wazee vijana.
3.Mkuu mbona unaegemea upande mmoja tu?,huwasemi na wale akina mama wanaofukuzia serengeti boys au unawaogopa????
 
lazima atakuwa na mtindio wa akili mchunguze vizuri
 
Na wale wazee waliooa lakini wana girlfriends nao tuwaweke kundi gani?
 
Jamani mwanamme miaka 30 mbona ni mtoto tu? Kwa mwanaume life begins at 40.
 
kijana akiwa na miaka 30 huo si umri wake
ondoa miaka 5 kati ya hiyo 30......
 
labda angekuwa na 40 ndio ningeshangaa...
ila 30,kwa mwanaume bado mdogo...
 
Back
Top Bottom