Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,261
- 528
Jamani jamani, kuna mdada kaachana na boyfriend wake, hata mwezi haujapita rafiki wa yule jamaa akaanza kumtongoza, pamba moto hatari, demu akamuambia siwezi toka na Wewe kwa sababu wewe na ex wangu marafiki, mtu haelewi.
Kiukweli mi nadhani amblock kwa sababu namuona sio mtu mzuri.
Mnaonaje? Ni sawa ku date na current ex wa rafiki yako?
Kiukweli mi nadhani amblock kwa sababu namuona sio mtu mzuri.
Mnaonaje? Ni sawa ku date na current ex wa rafiki yako?