Unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii!( Kisa mke wa Boss).

Unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii!( Kisa mke wa Boss).

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Hii nimeikuta sehemu fulani huko, hivi Kama ni wewe unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii.
FB_IMG_1596477573386.jpg


Kiukweli ningekuwa mimi hii kwangu ingekuwa ni fursa kazi na dawa. 🤣 🤣 !!
 
Jamaa aache tu kazi maana ameshindwa kabisa tunza mazingira...hajui hata huyo mke ni zingira pia
 
Jamaa aache tu kazi maana ameshindwa kabisa tunza mazingira...hajui hata huyo mke ni zingira pia
Nimecheka sana yani kakabidhiwa atunze mazingira Cha ajabu hataki kumwagilia hilo ua lichanue wakati ndio jukumu lake.!
 
Kweli mtu hunyimwi vyote jamaa kapewa muandiko mzuri lkn kanyimwa utendaji..😂
 
Nyie nao muache tamaa mtakuja kuuwawa siku moja🤪🤦🏃
 
Kama ni werevu huyu mjamaa naye yumo kwa werevu. Hata kambale hamezi ndoana iso na chambo. Wadhani boss hajui kuwa kaweka serengeti boy home? Yawezekana jamaa alipewa majina ya watangulizi wake waliomsaidia huyo mama huo mhogo wa jyang'ombe wakaumia
 
Back
Top Bottom