Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Inawezekana mwajiri anatuma michango bila kuainisha kiasi hiki ni kwa mtu a,b,c,dHao jamaa nao ni longolongo sana, nenda dirishani aisee, taarifa nzuri unayoweza kuta ni kuwa mara ya mwisho michango yako kuingizwa ni 2016, na wala hawana habari wenyewe kuwa ni jukumu lao kumwamuru mwajiri kupeleka michango hiyo.
Ukienda kwa mwajiri, anathibitisha kuwa hakuna mwezi alioruka, kisha NSSF wanakupa fomu umpelekee mwajiri aijaze kuthibitisha hilo, halafu wao wana effect pesa zako kwenye akaunti.
Ukiuliza zaidi, wanakwambia pesa ilikuwa inainhia kwenye Pool account, sasa unashangaa, una account number, na umechangia kwa miaka mingi tu, imekuaje sasa ianze ghafla kuingia kwingine?
Unatabasamu au moyoni unasema hiiiiiiiiiiiiiiii.
Hahaaaaa hii serikali ni ya kichovu sanaaHao jamaa nao ni longolongo sana, nenda dirishani aisee, taarifa nzuri unayoweza kuta ni kuwa mara ya mwisho michango yako kuingizwa ni 2016, na wala hawana habari wenyewe kuwa ni jukumu lao kumwamuru mwajiri kupeleka michango hiyo.
Ukienda kwa mwajiri, anathibitisha kuwa hakuna mwezi alioruka, kisha NSSF wanakupa fomu umpelekee mwajiri aijaze kuthibitisha hilo, halafu wao wana effect pesa zako kwenye akaunti.
Ukiuliza zaidi, wanakwambia pesa ilikuwa inainhia kwenye Pool account, sasa unashangaa, una account number, na umechangia kwa miaka mingi tu, imekuaje sasa ianze ghafla kuingia kwingine?
Unatabasamu au moyoni unasema hiiiiiiiiiiiiiiii.
Mimi pia nilikuwa na shida kama yako ila kuna jamaa yangu alinirushia kipeperushi na sasa naweza ona taarifa zangu hii inaweza kukusaidia wewe na wadau wengine,kikubwa namba yako uliyojisajilia NSSF iwe active.Habari wakuu
Hivi ni namna gani unaweza kuangalia Kama mwajiri wako anaweka hela nssf kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.
Naomba kujua na ni kwa namna gani
Hii imenitokea kwenye marejesho ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB).Inawezekana mwajiri anatuma michango bila kuainisha kiasi hiki ni kwa mtu a,b,c,d
Sawa kaka, ila ndo miaka 4 yote? Wao wanafanya kazi gani wanapoona wanapokea pesa kutoka kwa mwajiri isiyo na maelezo? Kwanini iwe rahisi kuiweka kwenye kapu la jumla kwa miaka 4 halafu washindwe kumuhoji mwajiriInawezekana mwajiri anatuma michango bila kuainisha kiasi hiki ni kwa mtu a,b,c,d
Hapo kweli kuna shida mahali, kuna watu hawafanyi kazi yao inavyotakiwa.Sawa kaka, ila ndo miaka 4 yote? Wao wanafanya kazi gani wanapoona wanapokea pesa kutoka kwa mwajiri isiyo na maelezo? Kwanini iwe rahisi kuiweka kwenye kapu la jumla kwa miaka 4 halafu washindwe kumuhoji mwajiri
Umepotea...ukiniona barabarani si unaweza kunisahau ukanipita? Hope you are okay.Mimi walinielekeza kuangalia kwa njia ya sms natuma neno NSSF SALIO kisha naandika namba yangu wa uwanachama natuma kwenda namba 15200.
Njia hii wanakata shilingi 100 kwa kila ujumbe (sms) utakaotuma.
Au sio reliable? [emoji2374]
Hivi hii inafanya kazi? Maana nishapiga mpaka simu wakasema watabadili baadhi ya details ili ifanye kazi, ila.vi-100 100 vinachukuliwa tu.Mimi walinielekeza kuangalia kwa njia ya sms natuma neno NSSF SALIO kisha naandika namba yangu wa uwanachama natuma kwenda namba 15200.
Njia hii wanakata shilingi 100 kwa kila ujumbe (sms) utakaotuma.
Au sio reliable? [emoji2374]
Ndio njia zote zipo, unaweza download App ya Nssf au kwenye Website yao ingia kwenye "member portal"Habari wakuu
Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.
Naomba kujua na ni kwa namna gani
Umepotea...ukiniona barabarani si unaweza kunisahau ukanipita? Hope you are okay.
Eti mchango wangu wa mwisho ulipelekwa mwaka 2020 mwezi wa nane, wakati bado nipo hapahapa kampuni toka mwaka 2011, kuna michango ya miaka miwili tu, 2019 na 2020 hiyo mingine iko wapi?Huduma Ipo Mkuu,ingia Play Store Download App Yao Utajisajiri Kwa Kutumia Namba Ya Uanachama Itafunguka Utaweza Kuona Michango Yako Na Kiasi Cha Pesa,mimi Natumia Yao Iko Vizuri
Tuma neno NSSF salio unaandika namba yako ya uanachama wa NSSF kwenda 15200 sharti uwe na shilingi 100 kama salio la kawaida kwenye simu yako.Wadau naombeni msaada
Hivi naweza kuangalia michango yangu ya nssf kupitia simu