unaweza kubadili course ukiwa chuoni....?

unaweza kubadili course ukiwa chuoni....?

fidelis zul zorander

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
685
Reaction score
176
wadau na swali kwa ambao mko uko vyuoni kama umechaguliwa course fulani na ukaamuakubadilisha inawezekana kweli...?assume qualification za kubadili hiyo course unavyo!..msaada jamani
 
Swali zuri sana hili!! na majibu yatatusaidia wengi
 
unaweza kubadili course wakati wa kufanya registration.
 
Uwezekano upo ,ila unatakiwa ujitahid iwe mapema mno,wakati wa registration.
Na km utachelewa basi uwe tiyari ku-postpone huo mwaka ili uanze na watakaoingia mwaka unaofuata.
 
Kumbe suala ni kuwahi basi ntaripot 3 weeks before.
 
Inawezekana.Vyuo vingi hutoa nafasi hiyo ya kubadili kozi wiki mbili za mwanzo wakati wa udahili.
 
Dah thanx nitaenda kuhama fasta kwasababu me nilicheza trick ya kujaza course ambayo inaushindani mdogo na nimefanikiwa so awamu ya 2 ni kwenda kuchange.
 
Majuu (Marekani) ni rahisi sana kubadili major ukiwa freshman au sophomore.
 
Back
Top Bottom