Unaweza kuchukua kila kitu ulichokuwa umempatia mpenzi wako iwapo mkiachana?

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
1,328
Reaction score
3,718
Trippie Redd 's ex-girlfriend claims he took back everything he brought her after their breakup.

_20240302_034632.JPG
_20240302_033343.JPG
 
Unajua kinacho wafanya wengi kuwaachia vitu baadhi ya wanawake ni kutaka kuonekana ni watu wema na ni kweli watu wema wapo wengi lakini bahati mbaya zaidi kumfanyia mtu wema mara nyingi kumegeuka majuto sana sana kwa wahusika!

Wengi huwa wanaachiwa vitu lakini walio waachia hujuta mbeleni kwakuwa ni vigumu kutegemea shukrani kutoka kwa mtu aliyekuumiza au kutoka kwa wanawake wengi!

Wanawake wengi kwa nature hawatakiwi kuonewa huruma bali wanapaswa kupewa haki yao kwa hiyo kama vitu ni vyako na ulimpa ni vyema umpokonye kabisa kabisa usipofanya hivyo lazima ujute……

Ambacho unaweza kumuaachia ni chupi tuu …lakini vingine inapaswa kumpora kabisa….!
 
Mkuu na sisi tulioacha hadi mahari unatushaurije, tukaanzishe timbwili
 
Je mnaweza rudishiana utamu mliopeana?Kama haiwezekani jua pia haiwezekani.
 
Aah kama vitu mlipeana kwa upendo enzi hizo haina haja ya kuchukua baada ya breakup, muache navyo tu.

Utoto wa chuo kuna ex babe alivyoniacha nilimpokonya calculator yangu niliyomhonga😀, now utu uzima siwezi kuchukua.
 
Mi huwa sitoi zaidi ya chakula, labda nikatapishe septic tank
 
Back
Top Bottom