Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Aisee kuna ex alinidai hadi boksa alizoninunulia nikasema huyu sijui anataka kwenda kuniroga, ujana raha sana !Aah kama vitu mlipeana kwa upendo enzi hizo haina haja ya kuchukua baada ya breakup, muache navyo tu.
Utoto wa chuo kuna ex babe alivyoniacha nilimpokonya calculator yangu niliyomhonga😀, now utu uzima siwezi kuchukua.