Unaweza kuchukua kila kitu ulichokuwa umempatia mpenzi wako iwapo mkiachana?

Aah kama vitu mlipeana kwa upendo enzi hizo haina haja ya kuchukua baada ya breakup, muache navyo tu.

Utoto wa chuo kuna ex babe alivyoniacha nilimpokonya calculator yangu niliyomhonga😀, now utu uzima siwezi kuchukua.
Aisee kuna ex alinidai hadi boksa alizoninunulia nikasema huyu sijui anataka kwenda kuniroga, ujana raha sana !
 
inategemea ni vitu vya aina gani
Kabisa na mmeachana style gani, kama kazengua yeye labda ka cheat na ulimpa ndinga khaa chombo inarudii, wengine hawajui kuachika bado vijembe na kupakaziana wa nn kumstiri huyo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…