Unaweza kuchukuwa maamuzi gani kwenye situation kama hii

Unaweza kuchukuwa maamuzi gani kwenye situation kama hii

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mimi ni kijana nimeo nina mke mmoja na mtoto mmoja
Sasa tangu nimeoa mke wangu Nimekuwa kama mtu ambaye ametupiwa Pepo la uzinzi Yaani siwezi kupitisha siku mbili au moja na nusu bila kufanya tendo la Ndoa na mke wangu nimejaribu kutafuta michepuko lakini wapi kila nikimuona tu natamani kushiriki tendo la Ndoa kwa mwenzangu ameanza kuona kero
Cha ajabu na chakushangaza jana nilikuta mke wangu ameninunulia sex toy
Akanipa nakusema eti nikiwa hamu zangu nitakuwa nazimalizia kwa toy hiyo
Mpaka najiuliza how can be possible how she thinks au ni mtego huu
 
Back
Top Bottom