Unaweza kudhani ni habari za kutunga

 
Hata hivyo napenda kuwaambieni ya kuwa hakuna atakayeweza kumshusha wala kumchafua Mr CLEAN ambaye watanzania wote wanajua na kutambua uadilifu wake na Uzalendo mkubwa alionao kwa Taifa hili .

Chawa mwenzako Tlaatlaah anasema Emma ndio mchapakazi na anapendwa na hakuna wa kumfananisha nae kwa sasa ndan y CCM.

Unalionaje hilo?. Tumpuuze ww au yeye?.

Kati yako na yeye Tlaatlaah nani anaongea Nonsense?.
 
Mlutheri wa kuwa Rais alikuwa ni Lowasa peke, kwakuwa ilishindikana na aliyemuangusha bado yupo hai, basi hakika mgombea Urais wa Ccm atatokana na genge lao lakini si Mwigulu Nchemba.

Kambi ya Msoga na Kizimkazi hawawezi tena kufanya kosa la kuruhusu mtu wa kariba ya Magufuli apate uteuzi wa kuwa mgombea wa Ccm.
 
Hili MwanaHalisi ni Gazeti la Said Kubenea.
Aliwahi kuwa Mbunge Wa Ubungo 2015-2020 kupitia Chadema.
2018 akagombana na Chadema na kuvuliwa vyeo vyote ndan ya Chadema kisa walisema Anakihujumu Chama.

2020 akahamia ACT wazalendo na kugombania Ubunge jimbo la Ubungo. Ila alishindwa.

Nadhan bado yuko ACT.

Je! Taasisi za Serikali yetu jinsi zinavyoendeswa kwa mihemuko
Inaweza Kuifanyia Figisu na Kufunga hili gazeti kwa Siku kadhaa?.
 
Uzi bora kabisa huu
 
Mngoni unam classify vipi?
 
Ila yule jamaa roma anakipaji.... Kwenye ngoma yake moja alisema "wakishapewa madaraka wanawaza uchaguzi ujao" wala hawamlindi/kumtetea mkulima na mazao""

Shenzi kabisa mwaka mmoja kuwatumikia wananch miaka minne kuwaza uchaguzi ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ