Unaweza kudhani ni habari za kutunga

2030 ni mbali kidogo.

Tutaona mengi.
Ila Emma ni mpole machoni, nyuma ya pazia ana watu wake na mtandao wake.

Magufuli aliona mbali ndio maana akamtupa Brazil na kumfungia asigombee uongoz ndan ya CCM kwa miaka 4. 2017-2021.
Emma mbishi ana misimamo.Alimkazia Kikwete wakati wa sekeseke la Lowasa.Magu akaona isiwe tabu - peleka Brazil huko.
Sema CCM Emma ndo presidential figure pekee iliyobaki...
 
Hiki kinachoendelea kinafaa kutengenezewa movie... ingeingiza pesa ndefu balaa! Ingeitwa BLACK SHORT FAT MAN FROM MALAWI VS BIG LADY WITH USHUNGI FROM ZIMBABWE AGAINST DEMON WITH SMALL MUSTACHI OF ALIZETI FARM.
 
Wee kila wakati upo upande wa mazoba.
 
Hapa ndipo tunasema wapinzani wa nchi hawana Agenda ya kudumu kuleta mabadiliko ya hii nchi si kwa mawazo ya kutengenezewa kama hayo, Hakuna ugomvi wala hizo drama kati ya hao uliowataja zaidi ya kuwapumbaza tu.

Mngoni anajua aliye muweka hapo na hiyo bila shaka ni kete ya Mzee wa Msoga ili kumvunja nguvu huko 2030 kadhalika kwa Mr Guys Guys , hapo watacheza na kete tofauti hiyo 2030 haswa kwa bachi iliyokaa benchi wakina Nzega boy, Marope , Riz huyu kidogo sana, Kisarawe boy, ingawa last card itadondokea kwenye urithi Znz (old mkuranga Boy).

Amini kwamba SSH awezi achia karata iende kwa watakao mletea shida kipindi yupo Kizimkazi akiuza urojo bali atajiwekea ulinzi na usalama zaidi.

Mchakato wa uraisi 2030 ndani ya CCM kwa sasa bado mapema sana ingawa washakata utepe chini ya carpet.

CDM mjipange kukijenga chama kwa uzalendo na mustakabali wa nchi, kuongoza nchi si lele mama kama mnavyodhani ikiwa chama tu mnatoana jasho.
 
Ila yule jamaa roma anakipaji.... Kwenye ngoma yake moja alisema "wakishapewa madaraka wanawaza uchaguzi ujao" wala hawamlindi/kumtetea mkulima na mazao""

Shenzi kabisa mwaka mmoja kuwatumikia wananch miaka minne kuwaza uchaguzi ujao
Watu wanajipanga wewe unaleta mambo ya wakulima tena, Power is not given it's earned
 
Aliyekufanya ukawa shoga hakukosea...
 

Mm pia niko na wazo hili kama ww.
Hawa wote wawili wamerambishwa vyeo vikubwa ili wanyimwe ile nafas kuu.

Kwa kigezo kuwa utaendelea kuheshimika na Kulipwa stahiki zako had ufariki.

Hao mabwana , watalipwa 80% ya Mshahara wa mtu anayeshikilia nafas hiyo kwa wakat huo kwa maisha yao yote. Na ulinzi juu.

Sasa Watake nini tena?.
Ni ulafi tu.
 
Mshana,
Kwa Siasa za Tanzania,hayo maswali tayari yana majibu.RAIS atakuwa yule yule hawezi Badilike.Kama yeye ndio yule basi atakuwa Je YULE AJAYE NI NANI?

Pembeni ya hapo tutulie tule Mtori nyama zipo Chini.Huyo RAIS wako aliyeko Gerezani anaendeleaje?Ulishaenda kumsalimia?
 
Kwahiyo umemwita Lucas Mwashambwa mganga wa Kienyeji?.

Dah! Nyinyi mnajuana. Ww ukisema mwenzako ni mganga wa Kienyeji sisi tunabishaje.
Eti bro Mshana Jr
ok gentleman,
basi relax na usirudie tena kumuexpose mganga wa kienyeji kwa mgongo wa mtaalamu mwandamizi, mchambuzi mshauri wa masuala ya kisiasa nchini.πŸ’
 
Kabisa, ingawa wapo na kiu ya kuifikia lakini hakuna njia mbadala.

Mngoni na Mr Guys Guys hawana mizizi ya kutisha ndani ya CCM, hivi vyama vimekuwa kama vikoba vya urithi na machawa pro maxx wale wadondokea humo ndiyo buyu la asali linafika miguuni.(si CCM, CDM , ACT n.k)

Ukiwasikiliza wana Siasa unapata picha ya kuwa hawana dhamira ya dhati ya kuibadilisha hii Tanzania kamwe zaidi ya kustawisha koo/familia/Vikundi/Jamaa/Wapambe n.k zao/vyao.
 
Hii kesi imeshakuwa ngumu sasa. Ila mimi nafarijika sana hawa mazafakas wakizinguana
 
Ninachojuwa bila ya shaka yoyote, huu siyo mwandiko wa mleta mada. Kuna mtu kaazima jina.

Ni muhimu kulibainisha hili kabla ya mjadala wa mada yenyewe.

Kuhusu mada: Mgombea yeyote anayejiegemeza kwenye kundi la Genge na Samia Suluhu Hassan; hiyo ni sifa kuu inayomwondoa mhusika katika matarajio ya kuiongoza nchi hii.

Hizo sifa nyinginezo zinazojadiliwa humo ndani, kama hizo za kiimani ni za kipuuzi.
Tanzania haiwezi kutazama viongozi wake kwa misingi ya imani zao za kidini

Namtaka Nchimbi akomalie msimamo wake, asijiuzuru na akisha isalimisha CCM yake na pengine tukishapata fursa ya kurekebisha taratibu za kupata viongozi wetu kwa HAKI/HURU, akiwa tayari apambane na Tundu Lissu kwenye uchaguzi huru kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…