Ukiwa polisi unatumbuliwa ndani ya 48 hrsJenga picha umemaliza chuo kikuu mwaka 2008 kisha alipofika mwaka 2020 umepanda daraja na kwenda kuwa mkuu wa shughuli za Ualimu, Polisi (OCD) au Udaktari (DMO) ndani la Wilaya uliozaliwa?
Kwanini mkuu?Ukiwa polisi unatumbuliwa ndani ya 48 hrs
Kutokana na kuwa uko kwenu hutatimiza wajibu wako vema na hasa kuogopa kutengeneza maadui, mambo mengi utafanya kwa legeza kamba kwakuwa ni kwenuKwanini mkuu?
Very true bossKutokana na kuwa uko kwenu hutatimiza wajibu wako vema na hasa kuogopa kutengeneza maadui, mambo mengi utafanya kwa legeza kamba kwakuwa ni kwenu
aisee...Kutokana na kuwa uko kwenu hutatimiza wajibu wako vema na hasa kuogopa kutengeneza maadui
Pole sana kwa msiba wa JPMaisee...
Huyu shujaa wa Afrika ameiuma sana nafsi yanguPole sana kwa msiba wa JPM
Demu wako huyu bila shaka
Hapana mkuuDemu wako huyu bila shaka
Kwanini umewaza hivyo?Demu wako huyu bila shaka